Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

avid3030_

New Member
Feb 13, 2021
1
0
Msaada kuset facebook (Instagram Ads).

Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
 
OK OK ila nakushauri kama ndio unaanza kwnye aya mabo usidhani kama utapata faida siku/wiki yaani ujue mtu anaweza ona tangazo leo lakini akaja kukufauta kununua baada ya mwezi ivyo inabid uwe na long plan na ukubali kupoteza 20000/30000 ili uapate wateja mana tz ni kubwa otherwise kama kama biashara yako ni ndogo una target dar tu au mkoa ulipo ila kama tz nzima ni heavy kidogo na pia watu wengi wanaamini watu wa mitandaoni matapeli mpka uwaaminishe wateja kwamba wewe ni mfanya biashara inabid uwe risk taker kidogo...ila welcome kwenye ulimwengu huu..
 
Back
Top Bottom