Msaada: Nini nifanye ili nitatue hili tatizo la gari yangu

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
622
582
Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini.

Nifanye nini?
 
Wakuu leo asbh, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini, nifanye nini?
P/S ni power steering.

Labda pressure ya hydraulic oil ya steering ni ndogo ndio maana.

Angalia kama oil yake imepungua.
 
Back
Top Bottom