Special Thread: Ushauri kuhusu Programs za Kuomba chuo kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliosoma masomo ya sanaa

Saxena

Member
Jun 3, 2021
55
125
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division Fulani wasithubutu kuziomba Bali waombe kozi Fulani (mfano tunasikia kwamba sheria UDSM na Mzumbe ni lazima mtu awe na division 1).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom