Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar es Salaam

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
58,957
103,309
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk.

Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo hicho, na taratibu zake wanipe A, B, C.
 
Chuo Cha maji kipo poa ila anatakiwa akaze akiwa mzembe atashindwa Mana Kuna program ya next offer ukipata sap ukashindwa kusapua unapata next offer kwa maana ya utarudia mwaka na Mambo ni magumu lazima ajue mathematics vizur ila ni chuo kizur ukimaliza ukapata nafasi ya kazi basi utakula maisha
 
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk.

Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo hicho, na taratibu zake wanipe A, B, C.

Sasa unatuuliza aina zo kozi tena? Kwani yeye kapangiwa nini?
 
Kile chuo kina msuli wa maana ila wanaotoka wako competent na wanapata ajira naona. Kama hujapata mwongozo mcheki huyu rafiki yangu ingawa hajui sana kuelezea alitoka hapo mwaka jana kwa sasa anasoma degree +255626132764
 
Back
Top Bottom