Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

EP cosmetics

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
2,468
3,838
Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu?

Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza?

Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria kodi kiasi gani kwa biashara ya kuwa wakala wa mitandao ya simu tu (kwa mtu ambae ndio kwanza anaanza)
 
Kupata line za uwakala unaweza kutumia lesen nyingine yoyote

Apana si lazima ila ukiwanayo inatumika pia.

Kodi inategemea na mzunguko wako na ubavojieleza pia na mazingira mfano kwenye vibanda TRA Awasumbui.
 
Ahsante mkuu.

Leseni yeyote unamaanisha hata ya udereva ? Au ni leseni ya bushara yeyote?

Kwingine nimekuelewa nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom