Msaada wa google support customer service

UDSM Alumni

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
2,465
2,000
Wakuu habari zeno,

Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni.

CHIEF MKWAWA
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,047
2,000
Hzo free services hakuna support line. Unaweza tu post kwenye support thread zao na watakupa muongozo.

Ila kwa ninavyofamahamu ukipoteza backup keys za Google authenticator ndio basi tena. Huwezi tena pata access sababu hata Google wenyewe hawazioni hzo keys. Zipo encrypted.
Hii ndio sababu iliyonifanya niache kutumia Google authenticator. Natumia Microsoft Authenticator na Bitwarden. Bitwarden ndio ya uhakika sababu two factor authentication za app uliziongeza bado utakuwa na access nazo hata ukibadilisha simu.
 
Dah security kali mpaka wateja inatutesa alafu awana ata njia yakufany backup ilikurud kwny account yao
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,578
2,000
Hapana mkuu ni security yao 2-step verification nili delete account nikasahau na keys zangu watu wengi wana ilo tatizo nimekoma kutumia hii njia password moja inanitosh kwa sasa
Ndio Inategemea unaitumia wapi sasa, kama unaitumia huduma ya kulipia watakusikiliza kama ni bure sahau.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom