Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

mrs ndeka

Member
Sep 17, 2019
28
45
Wapendwa habari!

Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.

Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana sijui nikiapply kazi nitaitwa hata interview..

Msaada please
 
Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
2,022
2,000

Wapigie sekretarieti kwa namba zao za huduma watakusaidia.
 
Ezekiel Mbaga

JF-Expert Member
May 28, 2018
9,349
2,000
Mm pia nna tatizo hilo, mbaya zaidi namba zao hazipatikani na zikipatikana hawapokei, kama upo Dodoma bc nenda UDOM ofisini kwao
 
future mind

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
200
250
Hiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
 
mrs ndeka

Member
Sep 17, 2019
28
45
Hiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
Oohh..At least umenipa matumaini
 
Ezekiel Mbaga

JF-Expert Member
May 28, 2018
9,349
2,000
Hiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
Naomba nikuulize, system ya Ajira portal inataka uanze kuweka cheti cha form four na kuendelea mbele, sasa vipi kwa ambaye ameanza kuweka cheti cha chuo >form six > form four Vipi hapo system itamkubali.?
 
Ila naskia kufuta cheti ulichoweka mara mbili (kama shida ya mtoa mada) ili kibaki kimoja inawezekana, ila kufuta cheti kabisa kisiwepo ndo haiwezekani
 
gubwe

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
300
250
Habari wadau naomba msaada account yangu ya ajira portal kwenye kipengele cha academic qualification nikiedit kwa ajili ya ku-upload cheti inahitaji GPA, nikiadd new academic Qualification kwenye program category hainiletei program name, nikisema nisave hivyo hivyo inakataa, nikipiga utumishi namba ya msaada iko Busy tangia asbh mpka jioni mara haipatikani 0735398259. Mwenye kujua
 
Ezekiel Mbaga

JF-Expert Member
May 28, 2018
9,349
2,000
Nadhani huwa kuna sehemu mbili,

Ya kwanza ni yale masomo kwa ujumla mfano masomo ya sayansi, masomo ya afya, masomo ya Arts. Ya pili sasa itategemea na sehemu ya kwanza umeweka kitu gani mfano sehemu ya kwanza uliweka masomo ya Arts bc hii sehemu ya pili utakutana na masomo husika ndani ya hiyo arts mfano diploma in mass-communication, degree in graphic design etc

Sasa ukikosea sehemu ya kwanza kwa kujaza tofauti bc sehemu ya pili ambayo ndio utakuta jina la course yako kama ilivyoandikwa kwenye cheti huwezi kuiona hivyo ni lazima sehemu ya kwanza na ya pili ziendane.
 
gubwe

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
300
250
Nadhani hua kuna sehemu mbili,

Ya kwanza ni yale masomo kwa ujumla mfano masomo ya sayansi, masomo ya afya, masomo ya Arts...
Yaaani mm nikiselect course category lakini program name hainiletei nimejaribu hata kufanya trial kwa program nyingine hainiletei program name
 
Rujeje

Member
Apr 14, 2021
32
125
System itavipanga yenyewe
Naomba nikuulize, system ya Ajira portal inataka uanze kuweka cheti cha form four na kuendelea mbele, sasa vipi kwa ambaye ameanza kuweka cheti cha chuo >form six > form four Vipi hapo system itamkubali.?
 
King Rabbit

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
583
1,000
Portal wanakuwaga na vichangamoto fulani fulani hawa IT wao sijui ni la saba C

Mfano mimi toka nimejiunga nao na mwaka kama 5 ila nimewahi ku-apply mara 2 tu bhasi.

Baada ya hapo kila niki-apply huwa napata alert ya msg ikisema "JOB APPLICATION FAILED" niliishi nayo hii kwa muda mrefu sana nikihangaika kufanya changes hizi na zile ila mzigo bado uligoma.

Cha ajabu majuzi hapa na tamaa nilishakata kabisa nikajaribu kujiridhisha tu cha ajabu mzigo ulikubali......na hapo nyuma ikumbukwe requirement zote wanazozitaka nilikuwanazo ila ilikuwa inagoma ku-apply.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom