1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa.
2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa.
3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja.
4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra.
Nini hii jamani?
Nina maumivu ya korodani hasa...
Umri: 42
Tatizo: Shahawa zinatoka rojo rojo bila presha.
Nguvu za kiume: zipo
Mkojo: presha ndogo na hauishi wote vzur kama vile valve mbovu.
NINI TATIZO?
NINI TIBA?
Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani.
Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
Wandugu,
Kijana amechagliwa kwenda Lugalo kwenye clinical medicine. Kuna taarifa kuwa chuo kimefunguliwa tarehe 3/10/2021. Lakini joining instructions zinasema kufungua ni tarehe 11/11/2021.
Nifanyeje kupata uhakika. Ukipiga simu hawapokea.
Assist please to get the correct information.
Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.
Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
Msaada kwenye tuta,
Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini?
Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
Naombeni ushauri wa nini cha kufanya kwa haraka ili nisipoteze hela ambazo nimezituma kwa a Company in Kenya nimefanya manunuzi ya simu. Katika makubaliano ilikuwa kwamba nilipe advance/deposit ya 50% cost ya simu ili waweze kuituma na nikishaipokea hapa Dar nitalipa balance 50% iliyobaki. Sasa...
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum.
Kumezoeleka katika nchi...
Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian)
Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na:
Cheti cha kuzaliwa (Ninacho)
Namba za Nida (ninazo)
Cheti cha kuzaliwa...
Bondia wakuu.
Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema.
Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa...
Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo.
Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila...
Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi
Iko hivi
Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani.
Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall...