Msaada wa namna ya kuhamisha nguzo ya TANESCO

PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
633
469
Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo.

Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.

Wakuu, nafanyaje hapo?
 
Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.

Wakuu, nafanyaje hapo?
@TANESCO
 
Hujui ofisi za tanesco zilipo au sijakuelewa
 
Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.

Wakuu, nafanyaje hapo?
Hilo swala ni kubwa sana usifanye mchezo nakushaur ufunge safari moja kwa moja hadi kwa wazir makamba hapo tu ndo utapata utatuz
 
Andika barua tanesco ukiielekeza Kwa meneja tanesco wa eneo husika watakuja kukutembelea kuona namna ya Kufanya
Simu sana sana hua ni emergency case Kwa ishu kama hiyo itakulazimu ufanye hivyo
 
Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila kuhamisha nyaya.

Wakuu, nafanyaje hapo?
Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika

Ahsante sana
 
He!! Gharama ni kwa mwenye eneo au mteja wenu?
 
Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika

Ahsante sana
Gharama zake tena kuhamisha !!??
 
Tafadhali andika barua kwenda kwa meneja wa eneo lako au fika ofisi za TANESCO ujaze form ya huduma kwa wateja ili wataalamu wa TANESCO wafike eneo lako kukagua kama inaweza kuhamishika na gharama halisi ambazo utapatiwa ili kufanya kazi husika

Ahsante sana
Hata kwangu chanika mmenifanyia haya tena toka nguzo inawekwa nawaambia hapa mnaweka juu ya kiwanja changu wale mafundi wananijibu "huwezi kutuzuia" kwahiyo nguzo imewekwa makusudi halafu baadae niingie gharama kuhiamisha kweli?
 
Back
Top Bottom