msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. babu M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi weusi tupo hivi?

    Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi...
  2. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo mpya wa Insurance ya Gari

    Habari waungwana, Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo. Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden aahidi msaada zaidi wa chanjo kwa Afrika

    Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika. Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
  4. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alisoma vyuo gani huko Afrika Kusini na China?

    Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea. Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka...
  7. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

    Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja. Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba sample ya barua ya likizo isiyo na malipo

    Habari za usiku waungwana? Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili. Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi. Mimi ni mtumishi wa serikali. Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga. Thanks
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo unahitajika hapa

  11. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Msaada wa IMEI simu ya HUAWEI Y5 PRIME

    Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
  12. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari zenu Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?
  13. CHENGU MANURE

    JamiiForums Tanzania Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Wasalaam Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea online. Kuna jamaa aliishiwa hadi akataka kurudi kwao kigoma kutoka Dar. Jamaa sio msomi Hata wa...
  14. Cathy Diwani

    JamiiForums Tanzania Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

    Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...
  15. AlphaPii

    JamiiForums Tanzania Msaada wa swali lifuatalo

    Swali la nne vipengere vyote
  16. sam green

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya uvimbe

    habr wana jf naomben msaada dawa ya kuondoa uvimbe kwa haraka mtu aliyepigwa na akavimba uso na macho pia
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mwanamke uume unasinyaa

    Naombeni msaada ndugu zangu na sio masihara nikiwa na mwanamke uume hausimami kabisa unasinyaa na kubakia kichwa tu imenitokea hiyo hali mara mbili naombeni msaada na uume unapo simama haukazi sawa sawa unalegalega.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Rav4 Kilitime cc 1750 msaada

    Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 9.5 naweza pata namba D?
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa namna ya kusafirisha parcel kisangani congo

    Rejea kichwa hapo juu. Kuna mzigo au parcel inatakiwa ifike kisangani kutokea Dsm. Wataalam na wadau wa road naombeni msaada.
Back
Top Bottom