HABARINI.
Namba yangu ya nida AU national identity number NIN nikijaza sehem zinazo ihitaji au kupata nakala ya kitambulisho hicho nambiwa namba hiyo haipo wakati mwanzo nilikiwa natumia hata kwa kuhakiki lain ya kwa usajili wa vidole vodacom.
Kama kuna anae jua au ishauri nini nifanye...
Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo.
Wahusika tunaomba mtusaidie.
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini.
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari.
Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in...
Salaam!
Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki.
Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka.
Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
Habari za muda huu
Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu
Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ?
Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila...
Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote.
Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote...
Habari wadau,
Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4!
Unakuwaje Kuna basi?
Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma?
Nawasilisha kwa msaada please!
Wakuu. Heshima kwenu.
Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.
Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?
Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...?
Kama ipo hiyo app...
hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2.
Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye...
Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya chini kama penstrep na maltijet infusion tubes zenye penicillin na strptomycin. Nikafanya hivyo kwa...
Habari za asubuhi bila shaka MUNGU ni Mwema na anazidi kuwa bariki.
Nina jambo 1 naomba mnisaidie jamani kwa wanawake naomba mnisaidie kwa wifi yenu na kwa wanaume naomba mnisaidie nifanye nini ili shemeji yenu awe sawa.
Mimi ni kijana nina miaka 25 na nina mpenzi wangu ana miaka 21 ila ana...
Habari za muda huu wana jamvi?
Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 as equivalent applicant (najiendeleza kutoka Diploma).
Shida yangu ni kupata ufadhili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.