Msaada wa kujua manukato mazuri

Perfumes nyingi wauzaji wanafunga na vigunia vya mkonge mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja nilipewa zawadi nilipoendaga nje huko nikarudi nayo yaani unafua nguo alafu yale maji ya kusuuzia unaichukua unamiminina cc3 mle kwenye maji alafu nguo unaanika bila kukamua asee zikikauka huo unyunyu utadhani chupa ulipasukia huko kwenye karai

Unyunyu authentic una balaa lake..shida huku bongo famba nyingi..ukipuliza baada ya kupigwa upepo dk kadhaa,unyunyu badala ya kunukia unakuwa unanuka..

Ni bora upambane tu hata uagize nje kama kweli unyunyu ni mambo yako.
 
Tc
IMG-20211005-WA0024.jpg
 
Unyunyu authentic una balaa lake..shida huku bongo famba nyingi..ukipuliza baada ya kupigwa upepo dk kadhaa,unyunyu badala ya kunukia unakuwa unanuka..

Ni bora upambane tu hata uagize nje kama kweli unyunyu ni mambo yako.
Ni kweli mi naagizaga zanzibar hapo bei rahisi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ahaa vipi watu walikuwa hawakuulizi?? maemu vipi walikuwa hawajikoki kweli?? na hivi shomile tunapendaa sifaa, mi wakiniuliza nawaambiaa inaitwa google ya tsh 5000
Kwa madem ndo usiulize mana weng wao wanapenda Harufu nzur, wamekua wakiniuliza sana jina la Unyunyu
 
Back
Top Bottom