msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suleiman hatibu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

    Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa. NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu. Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia. Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa. Ngumi zikaanza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uwezekano kwa kupangiwa PCM kwa matokeo haya

    Je, ukipata. Phy-D Chm-C Math-B Geo-C Uwezekano kwa kupangiwa pcm upo kwl? Plz
  4. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  5. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kumpeleka mtu kwenye wodi ya vichaa

    Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili. Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine) Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
  8. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  9. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba msaada wa Kivuko Kigamboni

    Mama Samia tunaomba Huruma yako Kigamboni: Kwanza naanza kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano WA Tanzania..., Natumai umeitikia "Kazi iendelee.." Pili nakupa pole kwa kazi ngumu ya kuongoza Tanzania, nchi yenye Mazonge ya kila rangi kila uchao, Na Tatu nakupa pongezi kwa siku hii ya...
  10. Memtata

    JamiiForums Tanzania Msaada Engineering Drafting and Design Short course

    Habari wadau, Wapi naweza kupata mafunzo ya muda mfupi ya Engineering Drafting and design (AutoCAD/Solid works)? Pia nijue vigezo na masharti. Asanteni
  11. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Direct Link Movie ya Sobibor 2018 Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba anisaidie wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu. Thanks.
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

    Wakuu, Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana. Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome, Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu! Yaani kwa umri...
  15. VictoniX

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  17. albab

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa skimming

    Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu.... Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi..... Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall...
  18. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  19. Stavros Myles

    JamiiForums Tanzania Msaada Unahitajika: CPU ina beep (+Red Light) mara nne na haionyeshi kitu

    Hi kwa wanateknolojia wa Jf.Niende moja kwa moja kwenge tatizo lililonikumba. Betri (CMOS Battery) ndogo ya CPU ya Hp iliisha nikafanya mkakati wa kuisaka lakini nikiwa kwenye mchakato nikasema ngoja niiwasbe hii Deaktop hivhivi bila yakuwa na betri. Nilifanikiwa kuitumia Desktop kwa siku...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
Back
Top Bottom