Wakuu kwema humu?
Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena?
Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
Kazi iendelee.
Umoja wa Ulaya umeridhishwa na mwenendo wa mahusiano Kati ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais SSH na Umoja huo na hivyo Ili kuunga mkono juhudi hizo wamesaini mkataba wa msaada wa sh.bil.469.4 ..
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha,fedha hizi zitatolewa ndani ya...
Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa...
Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya kichwa kwa upande wa juu apa na pembeni na kama nikiinama kwa mbele ivi Hali ndo inabizidi kuwa mbaya...
Habar yako usomaye Uzi huu matumaini uko sawa.
Nirejee kwenye Uzi
Niko na mdogo wangu wa kike Yuko good mno kiakili binafsi namkubali
Sasa alifaulu form 6 pcb 2021 kwa 2.10 Sasa lengo lake lilikuwa MD Ila ikigoma sababu ya cutpoints kusababishwa hata kozi baadhi za afya alizoomba...
wakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering.
Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA ipi inafaa zaidi
Wadau kwema?
Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia.
Je, mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh unatosha?
Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje?
Naomba msaada wadau wenye uelewa.
China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10
========
China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine
China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6 million) of humanitarian assistance to Ukraine, Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin...
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu
Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
Nimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022.
Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina.
Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze...
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
Salaam wadau wa ujenzi,
Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm.
Of course najua lililopo Victoria,
Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti tofauti ili niweze kuchagua.
Pia kama Kuna mtu anafahamu zaidi kuhusu aina nyingine na ubora za tiles...
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii
Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
Habari za muda huu
Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala
Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake.
Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.