msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  2. Jett

    JamiiForums Tanzania Nina ndoto ya kufanya kazi NBS, nina Msc. in Statistics

    Habari wana JF. Jamani ninaomba mawazo yenu. Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari. Ila wakati naajiriwa nilikua tayari nimejiendeleza kwa kua na degree ya pili ya takwimi. MSc. Stat. Ndoto yangu ni kufanya kazi na idara ya taifa ya takwimu, NBS. Changamoto ni kwamba nakosa sifa za kubadili...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  4. PACHOTO

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha tatizo la nyumba kupasuka madirishani

    Habari wakuu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja. lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania UN kuchangisha dola bilioni moja za msaada kwa Ukraine

    Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths anayeshughlikia misaada ya kibinadamu, ameeleza hayo...
  6. Procurer

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

    Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
  8. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mshahara wa Data Officer MDH

    Heshima kwenu wadau Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
  9. Iamhonest

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

    habari zenu. samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nakopi wazo la Q-Beans kuuza maharagwe ya kuchemsha

    Habar wakuu, Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani. Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
  11. keikiu

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya router yangu iweze kutumia laini zote

    Nina router ya Home Internet ya Tigo sasa kwa wale wenye ujuzi wa ku unlock niweze kutumia kwa laini zote nahitaji msaada please.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada VoIP app inayofanya kazi hapa Tanzania

    Habari Wakuu Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol). Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia. Nitashukuru kwa muongozo.
  13. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

    Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo 1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
  14. makandula

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kivimbe kwenye sehemu za siri

    wataalamu nisaidieni,tatizo la kupata kivimbe(kama kijipu)sehemu ya Siri ya hajakubwa inasababishwa na nini na je ni bawasili?nini tiba yake?
  15. M.COLLINS

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wanakohoa na kukoroma, naombeni msaada

    Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6. Hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado nilipata kifo kimoja kwa (Watoto), siku 3 mbele nimewaanzishia dose nyingine ya TYDOX EXTRA Wakubwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli Katibu Mkuu Utumishi ameelekeza watumishi wanaostahili kupandishwa madaraja?

    Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo. Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko. Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu

    Salamu zangu kwenu wote Mwaka jana mwezi wa nne nilipata matatizo kazini na nikafukuzwa kazi. Baada ya hapo nikawa nafanya kazi yoyote inayotokea za kusaidia fundi sikuweza kufanya biashara kwakuwa sikuwa na mtaji na akiba ya pesa niliyokuwa nayo ilikuwa kidogo Mwezi wa saba mwaka jana...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Msaada naombeni movie ya Tomb of the river

    Nduguzanguni waungwana Nimependa mnipe movie hii ya Tomb of the river ya korea nimependa trailer ikiwa na subtitle au mnipe link yake au website nitayopata hii movie angalizo isiwe na mb kubwa Asanteni Waungwana
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata msaada wa Tsh. Trilioni 1.15 kutoka Ulaya

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi miaka mitatu ijayo na Serikali imeainisha kutumia Tsh...
  20. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Back
Top Bottom