msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titus3652

    JamiiForums Tanzania Msaada wa GPA wakuu

    wakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering. Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA ipi inafaa zaidi
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Wadau kwema? Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia. Je, mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh unatosha? Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje? Naomba msaada wadau wenye uelewa.
  3. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

    Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
  4. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania China yaipa Ukraine msaada wa yuan milioni 10

    China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10 ======== China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6 million) of humanitarian assistance to Ukraine, Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin...
  5. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  7. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    Giving is a reminder of our own blessings! Please support our friend Esteri in whatever way you can 🙏🏾🙏🏾
  8. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Nimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022. Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina. Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

    Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha. Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua duka la Spanish tiles hapa DSM

    Salaam wadau wa ujenzi, Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm. Of course najua lililopo Victoria, Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti tofauti ili niweze kuchagua. Pia kama Kuna mtu anafahamu zaidi kuhusu aina nyingine na ubora za tiles...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada flat TV ya LG

    Wakuu Nina TV ya LG ila picha haionyeshi vizuri, inakuwa na Blue iliyozidi kiasi haionekani vizuri,,
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa wa haya masuala

    Habari za muda huu Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake. Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
  14. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania Msaada Wadau:JINSI YA CSV FILE

    Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android? Karibuni kwa michango
  15. Suleiman hatibu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

    Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa. NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu. Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia. Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa. Ngumi zikaanza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Uwezekano kwa kupangiwa PCM kwa matokeo haya

    Je, ukipata. Phy-D Chm-C Math-B Geo-C Uwezekano kwa kupangiwa pcm upo kwl? Plz
  18. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  19. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
Back
Top Bottom