Hama mkoa au neenda nchi jirani, riziki yako ika mahara fulani rizki hutafutwa sio kukufuata, kwanini hamjifunzi kwa waislamu jinsi wanavo safiri kutafuta rizki.Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dak hii na kila jambo ninalo panga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.
Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni wenu wa aina yoyote ule.
Kazi ninayo Ndugu yangu lakini haidumu Mara hivi Mara hivi yani ilimradi tu.Una kazi au laah tatizo nn
Nina bro wangu ana miaka 36 hana mtoto wala mke sema jamaa ni mtu wa kuumwa sana mpka leo yupo kwa wazazi katika life lake ameandamwa na misukosuko ya kuumwa mpaka maisha yanamzidi uwezo pesa anamaliza kwenye matibabu
Bro usilinganishe na wengine sote tutakufa kubwa kuwa na mke na watoto ni furaha ya dunia ila tutaviacha
Kumbuka rihann kama mwanamke tena kapta mtoto akiwa na miaka 33 ni swala la mungu tu
Kwenu ni wangapi kuzaliwa?Kazi ninayo Ndugu yangu lakini haidumu Mara hivi Mara hivi yani ilimradi tu.
Kula maisha dunia ina changanya sana usiwaze si wengine tuna kila kitu ila hatuna watoto japo hatujafika hata 29 ila hatuna wasiwasiKazi ninayo Ndugu yangu lakini haidumu Mara hivi Mara hivi yani ilimradi tu.
Msaidie hapo kwenye suala la mke🤣🤣🤣🤣Usiache kusali, Muombe sana Mungu.. atakufungulia milango ya baraka hadi wewe utashangaa, kikubwa fanya kazi kwa bidii..
Mpelekee Mungu mahitaji yako, amini nakwambia atakujibu.
Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.
Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
Kwa hio? Kama una miaka 33 na hauko teari kiuchumi manake unaona bado unastahili kuwa na mke na familia. Tatizo lako unapoteza muda mwingi kutafuta mke badala ya muda huo utumie kujiendeleza kiuchumi.Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.
Kwa kweli naumia sana tafadhali naombeni ushauri wenu wa aina yoyote ule.
Watu mnaotoa ushauri wa namna hii, najaribu kufikiria hivi ww binafsi mambo yako ya kiuchumi yako vizuri? Huu sio ushauri kabisa wa kutoa. Samahani lakini mkuu. Ushauri ni kuchapa kazi tu.Nenda kwenye nyumba za ibada uonane na kiongozi wa kiroho akusaidie maana wakati mwingine unahitaji ushauri na maombi pia jitahidi kutafuta marafiki sahihi utoke kwenye hali ya upweke pia kaa karibu na wazazi wako waeleze changamoto yako watakuombea na watakushauri pia Mungu Akusaidie sana ndugu