Msaada kuhusu Recruitment Agencies

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Heshima kwenu waungwana

Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo

Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao

Asanteni
 
Back
Top Bottom