msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
  2. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu, Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Msaada Wataalamu wa Kiswahili, matumizi ya haya maneno ambayo hunichanganya

    Lipi ni neno sahihi kwa matumizi. Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo. Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani. Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi. Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini. Kaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  5. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

    Habari zenu wa kuu. Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani. Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
  6. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Recruitment Agencies

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao Asanteni
  7. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

    Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika. Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
  9. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  10. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa Kariakoo

    Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini. Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa...
  11. pascal luoga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

    Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba msaada Wadau

    Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo. Cartoon, vichekesho, nk. Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
  13. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

    Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja. Ahsante
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  15. Simpleboylife

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

    Wakuu! Natumaini mu wazima Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii. Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata Nimefanikiwa kupata ngoma moja...
  16. D2050

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
  17. Sanctus Mtsimbe

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Wazalendo; Moja ya sehemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT. Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma. Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China inatoa msaada kwa nchi za Afrika, ili nchi za Afrika zisiombe msaada tena katika siku za baadaye

    Fadhili Mpunji Moja ya mada zinazojadiliwa katika uhusiano kati ya China na Afrika ni msaada. Hivi karibuni, ofisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kimataifa la China (CIDCA) Bw. Liu Junfeng kwenye mkutano uliofanyika Beijing alieleza kwa kina utaratibu wa China katika kutoa misaada kwa nchi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China kwa nchi za Afrika: Je ni mzigo wa madeni?

    Caroline Nassoro Vyombo vingi vya habari vya nchi za Magharibi pamoja na baadhi ya wanasiasa katika nchi hizo wanadai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo wa madeni, na kwamba inaendeleza ukoloni mamboleo kwa nchi hizo. Tukiangalia kwa undani, uhusiano wa China na nchi za Afrika ni wa...
  20. jerryperry2020

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la rejeta kwenye Subaru Impreza

    Wakuu nawasalimu pamoja na mko bize kufuatilia kesi mbali mbali zinazoendelea kwenye mahakama mbali mbali naomba ushauri wenu kwa wazoefu ninatumia subaru impreza kwenye mizunguko yangu ila hivi karibuni imekuwa na tatizo kwenye rejeta maana kila nikienda kwenye mizunguko lazima nikute imekausha...
Back
Top Bottom