msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

    wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa ugwe mgongo (spinal cord)

    Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu? Anisaidie ushauri Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie tupone Ndugu zanguni nimekuwa na maradhi yanayonisumbua kwa muda mrefu sasa ni mwaka wa 6...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili. Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
  4. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto zangu hizi tafadhali

    Habari wakuu, Nimekwama tafadhalini. Naamini kila mtu humu ana talanta yake ambayo amebarikiwa, Naamini pia huku kuna wakina Yusuf walioweza kutafsiri ndoto kipindi cha utawala wa Wamisri kwa Israel na ndiyo maana sinaga tabia ya kudharau watu. Ni marefu kidogo ila nakuomba soma hadi mwisho...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mjomba anatatizo la kupata choo

    umri wake ni miaka 47 Kwa Sasa amekuwa akisumbuliwa na tatizo la tumbu yaani akienda hospital kupima anakutana na shida za kawaida tu kama typhoid au minyoo au vidonda vya tumbo na wakati mwingine hakutwi na tatizo lolote. Na amekuwa akipewa dawa, lakini anapata unafuu wa mda mfupi. Hali hiii...
  6. Athuman Mintangah

    JamiiForums Tanzania Msaada kozi ya Law Enforcement

    Mtu akisiomea kozi tajwa hapo juu ajira yake mahususi kabisa anakuwa nani.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaopanda katika Daladala na Kutuomba Msaada wanatufanya Sisi Abiria hatuna Akili au?

    Kuna Mmoja kapanda Dala Dala nililopanda Jana Usiku la Buguruni - Mwenge aliniachi Maswali mengi sana. Kwanza ana Afya nzuri ambayo hata GENTAMYCINE ninayeombwa Msaada sina. Pili kuna muda akasema kuwa tayari ana Shilingi Milioni Saba na anataka tumchangie Shilingi Mia Tano, Elfu Moja zetu na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  9. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

    Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K. Kijana ananiambia alikuja Jiran (Jirani naye ana frame pembeni ya Huduma yake) akamuomba elfu Kumi...
  11. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

    Habari wana jamii forum! Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali. Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

    Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.
  13. Exuberant Boe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

    Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
  14. koboG

    JamiiForums Tanzania Wataalum wa vifaa vya cm msaada wenu hapa

    Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au kunanamna ya kufanya hapa
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Tembo wanaharibu mazao ya wananchi wa Kijiji Kilosa Mpepo na hakuna msaada

    Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali. Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  18. Jimmie-19

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji ushauri na muongozo wa kisheria, ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa

    Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu...
  19. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Nombeni Msaada: I think jamaa kaniroga

    Jana mida ya udubu nlikuwa naskilizia (dala)x2 nidandie kwenda Mwenge, Manyunyu yalkuwa yanakishi na dalili zlkuwa znaonesha soon kama sio hivi karibuni itakunya. Ikaja bajaji chap jamaa anataka Buku atukimbize fasta, ila pale kituoni abiria walikuwa weusi kishenzi…wakakaza Mi nkaona njitusu...
  20. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
Back
Top Bottom