Msaada wa Kazi/Ajira

Chilala Mlaponi

New Member
May 19, 2023
2
1
Habari Wapendwa, Nitangulize Shukrani kwenu kwa kuamini Busara na uelevu wenu wa kuchanganua na kusaidia Mambo mbalimbali. Hivyo naomba Mnisaidie.

Naitwa "Chilala Mlaponi" naishi Dar es salaam, Ombi kubwa kwa Yeyote atakaeweza kunisaidia Upatikanaji wa Kazi.

Ninauzoefu katika nafasi zifuatazo:-

IT > (software and hardware) Nimefanya kazi "Jamii fm" Mtwara/Shinyanga "Radio Faraja", kama Social Media Meneger.

Nimefanya kazi kampun binafsi ya simu "CnTech" ilijihusisha na (Imei Repair, cyber, Track Device, Frp & Baseband fix)

Pia nafanya(Ms office, system security, All fix about phone & other)

Driver> (Gari ndogo)-Nimefanya Hapa Dar es salaam kwa Mtu Binafsi nikimzungusha kwenye kazi zake.

Operator> (forklift)-Nimefanya hapa Dar es salaam(TPA)
Electrician.

TAFADHARI: Unaweza kunisaidia kama ikibidi zaidi nje ya Uzoefu wa kazi nilizofanya Nipo Tayari kufanya kazi nyingine.

Nashukuru kwa Muda wako wa kupitia post hii naamini Itakuwa njia sahihi ya mafanikio.

Asante....
Mawasiliano yangu
Tel: +255 654318014/+255 654318014
Email: chilalamlaponi00@gmail.com
 
IMG_20230503_141010_410.jpg
 
Back
Top Bottom