msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  3. Jimmie-19

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji ushauri na muongozo wa kisheria, ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa

    Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu...
  4. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Nombeni Msaada: I think jamaa kaniroga

    Jana mida ya udubu nlikuwa naskilizia (dala)x2 nidandie kwenda Mwenge, Manyunyu yalkuwa yanakishi na dalili zlkuwa znaonesha soon kama sio hivi karibuni itakunya. Ikaja bajaji chap jamaa anataka Buku atukimbize fasta, ila pale kituoni abiria walikuwa weusi kishenzi…wakakaza Mi nkaona njitusu...
  5. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  6. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Screen yaLaptop Ina Rangi ya Pinc

    Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
  8. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
  9. RAJ SIMBA

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

    Habar zenu Jamani Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA. Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza walinifungilia nimetumia SIKU 2 wakanifungia tena na muda huo wakanifungia namba nyingine tena, nimejaribu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza gari japan

    Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
  11. captain 21

    JamiiForums Tanzania Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania. Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika...
  12. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  13. Ngamba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Advert Rate kwa Dodoma

    rejea na kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye details ya advert rate kwa radio zilizopo mkoa wa dodoma
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kuacha kazi na kujiajiri mlitumia mbinu gani?

    Niliajiriwa 2014 kwenye sector ya elimu (mwalimu), nimepambana na maisha ya utafutaji Si haba Mungu kanisaidia nimefanikiwa kupata mtaji kiasi,nimefungua maduka mawili, duka la mahitaji ya nyumbani jumla na rejereja na la pili ni duka la simu,vifaa vya umeme na huduma za fedha mtandaoni (Mpesa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia?

    Naomba kuuliza kwa ambao wanafanya kazi kwenye Bomba la mafuta la TAZAMA Hivi wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia? Na je kama una uzoefu wa kazi hii ukipata kazi unapangiwa tu kituo cha kazi au kuna mafunzo wanakupa tena? Natanguliza shukrani kwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ninayoweza kutuma barua maeneo ya Mbezi ya Magufuli kwa njia ya posta au ni lazima kwenda Posta?

    Naishi Mbezi ya Magufuli, na nilikua na shida ya kutuma barua kwa njia ya posta. Hivi ni lazima niende Posta au hata upande huu wa kuelekea Kibaha kuna shirika la Posta? Naomba msaada wa kujuzwa kwa wanaofahamu.
  18. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ajira Portal

    Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita. Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
  20. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
Back
Top Bottom