Habari zenu Wana JamiiForums,
TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu.
Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
Habar zenu Jamani
Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA.
Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza walinifungilia nimetumia SIKU 2 wakanifungia tena na muda huo wakanifungia namba nyingine tena, nimejaribu...
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika...
Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
Niliajiriwa 2014 kwenye sector ya elimu (mwalimu), nimepambana na maisha ya utafutaji Si haba Mungu kanisaidia nimefanikiwa kupata mtaji kiasi,nimefungua maduka mawili, duka la mahitaji ya nyumbani jumla na rejereja na la pili ni duka la simu,vifaa vya umeme na huduma za fedha mtandaoni (Mpesa...
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono
Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
Naomba kuuliza kwa ambao wanafanya kazi kwenye Bomba la mafuta la TAZAMA
Hivi wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia?
Na je kama una uzoefu wa kazi hii ukipata kazi unapangiwa tu kituo cha kazi au kuna mafunzo wanakupa tena?
Natanguliza shukrani kwa...
Naishi Mbezi ya Magufuli, na nilikua na shida ya kutuma barua kwa njia ya posta.
Hivi ni lazima niende Posta au hata upande huu wa kuelekea Kibaha kuna shirika la Posta?
Naomba msaada wa kujuzwa kwa wanaofahamu.
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2.
GHARAMA
Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita.
Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva.
Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi.
Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.
Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.
Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.
Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo!
Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi.
Kibiashara na personal
Wakuu kwema?
Naomba msaada wa excell.
Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI.
Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama.
Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila somo,jumla na kadhalika.
Sheet 3 Nimeweka kwaajili ya rank,yaan aanze mwenye alama kubwa kwenda ndogo...
Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.
TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui.
Msaada kwa wajuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.