Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

Dawa ya mapenzi ni mapenzi, dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie....pendeza, jipodoe podo....zile nguo za sikukuu zivae kila siku.....kuwa msafiii, punguza makorokoro ndani.....jitoe out, anza kudate, tena huyo utayempata mpe yote....vingine usivibanie🤣🤣

Usiposahau njoo nikupeleke Kwa mtaalamu tukaangalizie😜
 
Hahaha ila ni mume wake wa ndoa inachanganya sana 😢
 
Ni muda tuu ndio utakuponya. Katika situation hizi hakunaga cha jikeep bize, sijui fanya mazoez, sijui tafuta replacement, sijui usikae peke yako, wengine huenda mbali zaidi na kujikita kwenye ulevi.

Kwasasa vumilia tuu maumivu. With time utasahau kila kitu. Jipe muda kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya.
 
Inategemea ni nani alizingua. Kama wewe ndiye wa kwanza kumzingua mume wako umeyakanyaga huwezi kumsahau kwani utajikuta huridhiki na kila mwanaume isipokuwa yule mwanaume mume wako. In short utaishia kumtafuta mtu mwenye quality kama zile bt utazikosa. Ila kama wewe ndiyo umekosewa just tulia atajitokeza mwamba mmoja bora zaidi ya wa kwanza.
 
Hahaha ila ni mume wake ndoma inachanganya sana 😢
Nimemkumbuka huyu dada, halafu akisema analea mtoto mdogo..
Ila sio kesi, mzazi ndo anakuwaga mmoja hasa mama....hawa wengine wote wanaweza kuwa replaced....tena awe na Imani ajaye ni mbora kuliko aliyepita.
Kwa sasa afocus kwenye kujipenda yeye binafsi, yeye ndo kila kitu kwenye huu ulimwengu, hawezi kuwapenda watoto Kama yeye hajipendi.

Umri wake mdogo, atapata mwingine tu WA kuendana nae.....na huyo ex mume asimtafute kabisa.
 
Huwezi kusahau kabisa! Jambo la msingi ni kupunguza kuchukulia kwa uzito hizo moments za nyuma . Chukulia kwa maono ya kawaida kwasababu nayo ilikuwa ni sehemu ya maisha.

Kulazimisha kusahau ndio kunakufanya usisahau! Jifunze kutolazimisha kuachilia mambo kwa nguvu ,acha yajitoe yenyewe taratibu.
 
Back
Top Bottom