=======
"Wakati wa Maandamano ya amani, Vyombo vya dola vikivunja haki za binadamu kwa namna yoyote hatua za kisheria zitachukiliwa dhidi yao! Iwapo waandamanaji watafikishwa kwenye vyombo vya sheria msaada wa kisheria upo kwa ajili yao! Ni bora wakalindwa wafanye maandamano kwa amani!"
Wakili...
Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
Hali zenu waungwana,
Kwa atakaekuwa na ujuzi/msaada juu ya maumivu ya meno na fizi nitamshukuru mno.
Ninasumbuliwa na meno kuuma hasa ya upande mmoja wa kinywa (kulia), yanavuta mpaka kwenye fizi na midomo ya chini.
Hakuna jino lililoharibika ila maumivu yake yanakithiri hasa yakiguswa na...
Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool.
Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale
Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia.
Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya...
Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz
Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa.
Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko Mbozi - Songwe shule ya Simbega.
Yaani ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa. Huyu dogo kapiga sayansi vizuri, sema wamempanga HGE na hatuelew tufanye nini.
Kwahiyo wajuvi tusaidiane muongozo wa kuhama shule A-Level.
Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima.
Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa...
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa...
Habari wapendwa,
Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha NIDA na NSSF.
Nimeongea na mwajiri wangu anisaidie kubalisha kwenye barua na certificate anasema...
Habari zenu wapendwa .
Nilikuwa naomba msaada wenu wa kitaalamu nina shida katika majina yangu.
Jina langu la kuzaliwa lina-share pande mbili upande wa kiume na upande wa kike, nimetumia hivyo mpaka nilivyokuja kujitambua nikaona siwezi kuendelea na hilo jina nikajibatiza jina lingine hadi...
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana nilijikita kwenye Software development sasa kuna app yangu nimeitengeneza sasa nina tafuta wawekezaji, nilikua nina uliza naweza kujiunga vipi na hawa sahara ventures ili nipate nafasi ya ku pitch project yangu?
Wasalaamu wanajukwaaa.
Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala.
Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.