mpya

  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania A Father Figure (AFF) - Albamu mpya kutoka kwa Dizasta Vina/Black Maradona

    Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!? Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!? Okay, basi ngoja niingilie kati, maana hizi dharau sasa! Siku ya jana (Tarehe 6 Januari mwaka 2023), Dizasta Vina AKA Black Maradona...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  3. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Shule mpya za Sekondari na hususan za Vijijini hazifundishi Masomo ya ECONOMICS, COMMERCE na BOOKKEEPING?

    Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? . Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya katika wilaya ya Mbinga kama vile BENAYA, NGUZO, KIPAPA, KILIMANI KATI, LAMATA, KAGUGU, N.K lakini...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu NEMC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu na...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

    Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika. Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video bora kuliko zote duniani inayoupamba mwaka mpya wa 2024

  8. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya. Tumeuanza mwaka na msosi gani leo? Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  14. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya toka TRA

  15. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi: Maridhiano ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote

    Salaam ,shalom!! Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk. Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
  17. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naukaribisha Mwaka mpya na zana hii

    Nimesha andaa kitendea kazi changu, nasubiria mida mida nikiamshe. HAPPY NEW YEAR WANAJF
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya mwaka mpya 2024 mwaka wa maongezeko usikate tamaaa

    Tukielekea siku ya mwisho ya 2023 nipende kuwaomba radhi wote niliowakosea humu kwa kujibu vibaya ama kuwaumiza machoo kwa mwandiko mahiriiwakithailogia ulitupa na kama...... bila kuwasahau wale tuliojibishana vibaya tukapatana nanyi nimewasamehe pia aisha kama binadamu nami nimewasamehe...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
Back
Top Bottom