Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,697
109,125
Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena.

Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia na Kimchezo kwani tayari Ameshafungwa Kiushirikina na Mchezaji Mwenzake na hata wale wa Upande wa Pili ila kama kawaida yenu mkaona Natania lakini sasa Wenyewe mmeshuhudia na mnaanza Kumlaumu na muda si mrefu mtaanza Kumchukia na pengine hata huko baadae mkaomba atemwe / aachwe tu.
 
Kama kawaida nyie tunawajua ikifika tano tu mnapotea kabisa. Ona mwenzenu huku. Na hao tunawapa mechi mtakuja kuwakataa.
 

Attachments

  • Screenshot_20231028_165312_Instagram.jpg
    Screenshot_20231028_165312_Instagram.jpg
    54 KB · Views: 4
Back
Top Bottom