Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA?

Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
 
Nitamtafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA?

Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
Ingia kwenye Mfumo wa Ununuzi Serikalini NEST kila kitu kiko wazi kwa wote, utaona miradi yoote ya Nchi nzima bila connection Mkuu.
 
Vijana mna feli sana aiseee....
Yaani umeshindwa hata kusema kwamba unajua nini na unauzoefu wa muda gani??
 
Back
Top Bottom