mpya

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  2. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Fib & spring sofaset 390k

    Sofaset nzuri sanaa ya fiber na springs pia. Ipo mbezi Contact: 0697224996
  3. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

    Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao. Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
  4. FK21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cycle mpya ya marafiki

    Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana. ASANTENI
  5. L

    JamiiForums Tanzania China kuendeleza nguvu bora mpya za uzalishaji kutanufaisha Afrika

    Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki

    Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki. Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha. Timu hiyo imemaiza msimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jhonier Alfonso Blanco striker mpya wa azam ni Habari nyingine

    Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Naitamani Tanzania mpya

    NAITAMANI TANZANIA MPYA Ni zaidi ya miaka 60 sasa tangu Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni mwingereza. Hali zote za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na maisha ya kijamii zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Kuna mabadiliko mengi mpaka sasa ambayo serikali katika awamu tofauti tofauti...
  9. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Unavyonunua TV mpya, unaangaliaga vigezo gani?

    Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya. Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari za kiafya na kiuchumi zitokanazo na bidhaa zitakanazo na zao la tumbaku ni nyingi kuliko faida za uzalishaji; tunahitaji sera mpya kwenye hili

    Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
  12. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya yenye matumizi bora ya nishati ya gesi asilia

    KURASA 1: UTANGULIZI Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais Chanzo: Mwananchi Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko makubwa ya Tanzania mpya

    Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika kipindi hicho: 1. Uchumi Imara na Kuchochea Maendeleo: Tanzania imechukua hatua kubwa katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utapeli mpya uliozuka mtandaoni

    UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI Habari wana Jamii Forums Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii inayowazunguka. Utapeli umekuwa ukihusisha mtandao wakijamii wa Facebook kama daraja la kufanikisha hao...
  16. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi amteua Boss mpya ZECO

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Haji Mohamed Haji kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO). Kabla ya uteuzi huo Haji alikuwa ni Mshauri Elekezi wa Kujitegemea, uteuzi huo unaanza leo May 22,2024.
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

    Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue! Pia soma: Kwanini Jakaya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Iran: Uchaguzi Mkuu wa kumpata Rais mpya kufanyika Juni 28, 2024

    Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. =================== Iran on Monday declared that it would be holding an early presidential election on...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma

    "Namshukuru MUNGU kwa Baraka na Rehema zake kwa kuendelea kunijalia afya njema. Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Hospitali za Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali za Kanda, Hospitali ya Taifa, Zahanati, Vituo vya Afya, na vifaa...
Back
Top Bottom