Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana.
Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...