Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,646
2,000
Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita.

Naomba kuelimishwa

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
 

Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
1,614
2,000
Kumbe hata manunuzi ya Ndege bila kuidhinishwa na bunge na ujenzi wa uwanja wa ndege kwa 1.5 Trilioni yalikua maono ya Chadema?
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
8,270
2,000
Uzi maalum wa kuwapakulia nyama za kutosha Chadema.

Mawazo ya Chadema mengi yamehusika kuleta maendeleo na kutatua changamoto mbalimbali kwa pesa zilizohidhinishwa na serikali ya CCM.
 

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
2,314
2,000
Leo umekula nini? Kumbe mara chache huwa unarejewa na utimamu kidogo.
 

Valuhwanoswela

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
1,194
2,000
Kumbe hata manunuzi ya Ndege bila kuidhinishwa na bunge na ujenzi wa uwanja wa ndege kwa 1.5 Trilioni yalikua maono ya Chadema?
CHADEMA wana akili na wanazitumia hawawezi kuwa na maono ya kijinga kama hayo, vilaza wa CCM wenye PhD za jalalani ndo wenye maono ya kununua madege na kuiletea nchi hasara kwa kila wanachofanya toka waingie madarakani. CHADEMA wangenunua ndege za kutumia Viwanja vilivyopo zikihitajika wakati ukifika siyo kuyalundika hapo miaka na miaka!
 

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
3,854
2,000
Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita.

Naomba kuelimishwa

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
unafkiri Kwa nini imepelekwa mbezi ambako ni karibu na Kimara?!
Je wajua kimara wakazi wake wengi wanatoka mkoa gani?!
ukilata jibu bold
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom