mpya

  1. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Tulifanikiwa kupata nafasi ya katiba mpya tusisahau kuweka mambo haya

    1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge. 4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Silas Lucas Isangi ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT)

    Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo. Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua... 1. Kaskazini : Alfredo Shahanga 2. Pwani : Robert Kalyahe 3. Magharibi : Amon David Mkoga 4. Nyanda za Juu : Lwiza John 5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  4. moudytz

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

    Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari
  5. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Set mpya za kupambia cake zinauzwa

    Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake Set ina vitu vyote vya kupambia cake. Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake Meza ya kupambia Nozzle 48 Kisu cha kukatia Mifuko ya nozzle.MkasiVisu vya kupambia,vijiko,paper cup na vingine vingi Set inapatikana kwa bei ya ofa 125,000 tu...
  6. Grahams

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya 2021 umeanza; umejiwekea Malengo yapi? Malengo yangu niliyojiwekea ni haya

    Salaam, Mwaka 2020 umeisha na sasa tumeanza Mwaka Mpya 2021. Wengi mtakuwa mlijiwekea malengo mbalimbali yawe makubwa, ya kati au madogo kwa mwaka uliopita, lakini kwa sababu mbalimbali kuna mliofanikiwa kuyatimiza na wengine mkashindwa kuyatimiza. Sizungumzii kuhusu malengo ya kuoa au kuolewa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apendekeza Stendi mpya ya Mbezi ipewe jina la Dkt. John Magufuli

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na kuthamini jitihada alizofanya, ambapo amesema atamuomba Rais aridhie ombi hilo. ============ Waziri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Set mpya ya vifaa vya kupambia cake

    Offer ya kuanzia mwaka Set nzima ya kupambia cake kwa bei ya 125,000 tu Inakuja na vitu vingi sana vya kisasa Ina nozzle piece 48, turnable table, visu vya kupambia, mifuko, slicer na vitu vengine vingi Ukiwa dar utaletewa free pia mikoani tunatuma. Call/WhatsApp 0784302225
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu kuchukua video na picha za uwanja mpya wa JNIA, vibali vitolewe kwa wanaotaka kupiga picha

    Picha na Pixabay. Uwanja mpya wa JKNIA ni kioo cha nchi yetu yaani ni kama uso au sebule au mapokezi ya wageni wanaotembelea nchi yetu. Uwanja wetu mpya wa JKNIA unasifiwa kuwa ni moja ya viwanja vipya vya ndege ambavyo vina hadhi ya kimataifa na sifa hizo ni kutoka kwa wageni mbalimbali...
  10. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

    Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club. Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Isiye waterfalls: Sehemu mpya ya kitalii Moshi

    Katika mkoa wenye vivutio vingi vya kitalii basi ni mkoa wa Kilimanjaro. Hii inatokana na uwepo wa mlima,ukiachilia mbali mlima huu kuwa kivutio,kuna mito inayotoka mlimani inayoteremka na baadae kuwa mto mmoja yani mto Pangani ambao unamwaga maji yake kwenye bahari ya Hindi. Uwepo wa mito...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru

    WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru. Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza, kupitisha sheria ndogo za ada na ushuri ambazo tayari zimepata baraka za Wizara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima tu kila Rais mpya akipatikana na Kuapishwa anaanza na Walinzi wake wapya na wa Rais aliyemtangulia wanaachwa?

    Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?
  14. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

    Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020 Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama. Kwa mujibu wa katiba...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

    Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  17. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

    Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo. Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa. Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watu na bahati zao

    Jamaa mmoja apewa fursa mbili kukumbuka nywila (password) kufungua disk yenye sarafu mtandaoni ya bitcoin yenye thamani ya dola za Marekani milioni 240. Baada ya majaribio nane ya kutatanisha, sasa yamebaki majaribio mawili ya kukumbuka password kwenye disk ambayo ndani yake kuna sarafumtandao...
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yasogeza mbele muda wa kuanza kutumika rasmi kwa sera yao mpya ya faragha

    Baada ya sintofahamu iliyoendelea kwa muda wa wiki moja sasa, WhatsApp imesema kuwa inasogeza mbele muda wa kukubaliana na sera yake mpya ya faragha hadi Mei 15, 2021 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa imewekwa ya Februari 8. Katika chapisho la blogu, kampuni hiyo ya mawasiliano inayomilikiwa...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imeshindikana, haiwezekani, yaonesha silaha mpya

    Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe. Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi. Korea imetamba kuwa hilo Ni kombora lenye nguvu Sana hapa Duniani. Tangu Korea ilipogawanyika na kuwa Korea...
Back
Top Bottom