mpya

  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

    Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
  3. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea. Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi. Iwe kwa mtutu wa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Myanmar waitisha kampeni mpya dhidi ya Jeshi

    Wanaharakati wanaopinga utawala wa kijeshi nchini Myanmar wamewataka watu kuacha kulipa bili za umeme na mikopo ya kilimo, na kutowapeleka watoto shuleni, wakipinga ahadi ya kiongozi wa kijeshi ya kukomesha mzozo. Maandamano ya hapa na pale yalifayika katika miji mikubwa nchini Myanmar jana...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

    Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki. Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo. ----- “Nikipata nafasi...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kupiga mizinga kabla ya kutoa mzigo ni staili mpya ya business?

    Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani? Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu mkamalizana? Huu sio uungwana.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais haya ya sasa yatapita, utafika wakati wataizoea hali halisi mpya

    Kuna wanaosema Mheshimiwa Rais angalau angesubiri mpaka apewe uenyekiti wa Chama ndio aongee kwa mamlaka na kuwakaripia wote wanajaribu kumfanyia fitina za chini kwa chini. Wanaona kama vile maamuzi yake ya kulihutubia bunge yameongozwa na jazba zaidi kutaka kuwaonyesha mamlaka aliyonayo hao...
  9. Merci

    JamiiForums Tanzania IST mpya ya 2004, CC 1490 inauzwa TZS 12,000,000.

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  10. lendila

    JamiiForums Tanzania Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania India: Mlipuko mpya wa Covid-19, UK. USA, zatangaza zuio la safari za India; hapa kwetu wasafiri Wahindi kama kawaida

    UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23, 2021. Hii ni baada ya mfumuko mpya wa maambukizi na vifo vya COVID-19 nchini India unaoifanya nchi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Katiba Mpya

    Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini. Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone anayotumia katika uwasilishaji wa hoja zake. Kitendo cha kuahidi kufanya maboresho kwenye sera zetu za...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa namba za siri si salama

    Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja. Rejea taarifa ya TCRA. Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji. Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
  17. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dc mstaafu kumpiga mkewe na kumtishia bastola lachukua sura mpya watoto wake washikiliwa na polisi Simanjiro

    Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa. Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
Back
Top Bottom