Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu.

Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu waliozaliwa, lelewa na kukulia ndani ya Chama.

Wanaokijua tamaduni na desturi za Chama. Na kubwa wanaojua ibara ya 8 ya Katiba ya CCM. Heshima kwa watu wote na sio kutoa toa matamko hata mengine yasio kuwa na mashiko kama anayetoka. In this case

1. Katibu Mkuu - Dkt. Emmanuel Nchimbi

2. Naibu Katibu Mkuu - Martin Shigella

3. Katibu Idara ya Uchumi - Peter Maduki

4. Katibu Itikadi na Uenezi - Martin Shigella /Kheri James

6. Idara ya Organization - Abaki Pereira Silima. Ndio Mkuu wa idara pekee aliyemudu nafasi yake kwa ufasaha
 
Vipi kuhusu Rayson Mwangwala, huyu naye ni mmoja ya mtu aliyelelewa na chama toka utoto wake. Namfahamu pia ni mmoja ambaye chama kilimsomesha toka O-level
 
Hata nafasi ya Katibu mkuu kiongozi mlipiga ramli JPM akawaacha chaka, Ajaye hajulikani mtashangaa
 
Back
Top Bottom