TAMISEMI Toeni Orodha Ya Wafanyabiashara Stendi Mpya Mbezi Luis

AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
2,048
3,568
Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis.

Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya Wafanyabiashara waliopata sehemu za kufanya biashara kwenye stendi hiyo. Ingekuwa ni vyema kwa Wizara hiyo kuweka orodha hiyo hadharani ili wafanyabiashara waliokosa wajue.
 
Back
Top Bottom