mpya

  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
  4. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Zege Halilali: kauli mbiu mpya ya serikali ya awamu ya sita?

    Salaam Nimeipenda Kauli Mbiu Mpya ya Serikali ya Awamu ya Sita "Zege Halilali" Hii Kauli Mbiu inasistiza uharaka wa kutekeleza jambo, linalowezekana Leo lisingoje Kesho. Hii itakua Chachu kwa Watendaji wa Serikali kufanya Mambo kwa Haraka kadri iwezekanavyo. kusiwe na ngojangoja kama jambo...
  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mexico wabuni mtindo mpya wa Barakoa dhidi ya Corona

    Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona. Barakoa hiyo ambayo imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuitwa ‘maski za pua’ zilionekana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la sasa la Mawaziri halikidhi matarajio ya wananchi chini ya uongozi mpya wa Rais Samia

    Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake. Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kauliza mwenye kuuliza itakuwaje historia mpya inayoandikwa ikifanana na historia rasmi iliyozoeleka?

    Historia ya Tanganyika na kwa makusudi nataka nianze na hii kwa kuwa mimeitafiti na kuandika kitabu ambacho naamini sote tunakifahamu. Umuhimu wa historia hii unasimama kwenye historia ya kudai uhuru chini ya TANU. Chuo Cha CCM Kivukoni kilichapa kitabu cha historia ya TANU mwaka wa 1981...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tupunguzie mateso, tumecheleweshwa sana ajira mpya

    "SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo. Tangu mwaka 2015,tupo mtaani tunahangaika,Tena sisi wanufaika wa HESLB tunazalishiwa deni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  10. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu hakikisha unawapa Watanzania Katiba mpya. Itakupa heshima kubwa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu. Wewe ndiye ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba,(BMK) mkiwa na marehemu Samwel Sitta. Mchakato ulifanyika, tukapata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

    Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6. Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya? Kila kitabu na...
  12. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia tambueni CAG hajamtuhumu Rais aliyepita amefumbua macho kwake na kwa Rais mpya

    Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika. Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

    Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

    Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea. Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

    Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais. Hoja ya...
  17. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Bandaling: Maneno yapi ya Kiswahili umekutana nayo yakawa Msamiati Mpya?

    Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

    Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
  19. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

    Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana. Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi: Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu. Tusiwe ving'ang'anizi kama luba. Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wabobezi wa Masuala ya Kulia Misibani Majumbani / Viwanjani hii Style mpya ya Kulia kwa Kusikilizia Kwanza inaitwaje?

    Unakuta Kundi Kubwa la Watu ( Waombolezaji ) muda wote tu wakiwa Msibani au katika Uwanja wote huwaoni Wakilia tena Macho yao huwa ni Makavu kabisa, lakini wakiona tu Camera za TBC1, ITV na Azam tv zinawamulika ghafla utawaona Wakilia kwa Uchungu na Camera zikiwahama tu Wananyamaza, wanafuta...
Back
Top Bottom