mpya

  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU afande Hamduni anza na Tanga

    Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa. Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa. Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa. Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa...
  3. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  4. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Sasa inatosha, tunahitaji Katiba mpya

    Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay. Dkt. John P. Magufuli, kama taifa tumepita kipindi kigumu sana hasa kwenye katiba yetu. Katiba yetu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Nyerere alijua Katiba ni mbovu lakini hakutaka kuibadilisha. Ni wakati sasa umefika ili Taifa liendelee linahitaji Katiba Mpya

    Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya serikali. Nyerere aliwahi kusema katiba hii inamapungufu mengi inampa rais nguvu kubwa ya kuweza kuwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini IGP Sirro utafanya mabadiliko ya MA RPC ili kwenda na kasi ya Rais Mpya ?

    Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda. Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali...
  8. Gamlemilwe

    JamiiForums Tanzania Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

  11. bolivia

    JamiiForums Tanzania Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda. Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

    Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea. Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele. Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa...
  13. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Je, wapinzani kuleta Katiba mpya?

    Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu sioni dalili maana CCM itamkaba kooni atajuta kuzaliwa. Je, Kweli Zitto Kabwe, Mbowe, Tundu Lissu &...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  15. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Doroth Kilave: Serikali ijenge shule mpya jimboni kwangu kwani wananchi wanazaana sana

    Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana. Habari kamili ndio kama mnavyoona
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  19. WAZO2010

    JamiiForums Tanzania HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Leo May, 1, 2021. Rais Samia S. Hassan ametangaza kufuta riba ya retention fee ya 6% (Riba ya wizi). Awali tulilipa 10% kama riba ya thamani yote; japo wao waliita penati. Ukweli una bakia kuwa ni riba tu. Na 6% kama retention fee (riba ya kutunza thamani ya fedha). Na makato kwa ujumla yalikuwa...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka anafaa katika nafasi yake mpya

    nimemfuatilia mwanasiasa huyu kijana nikaona anafaa sana kwenye nafasi yake mpya. Alipambania chama kipindi akiwa UVCCM. Alitulia kipindi alipopewa nafasi mpya. anajua kujieleza na anajua kurespond kwa wakati na kwa weledi. anafaa kuwa mwenezi wa Chama. Hongera Shaka Hamdu Shaka!!
Back
Top Bottom