Mr Njovu
Member
- Mar 15, 2016
- 44
- 29
Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja.
Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na trip zangu ni Dar-Mwanza-Musomo na vip upatikanaji wa speares kwa miakoni mbali na Dar. kwasasa natumia brevis, Natanguliza kheri
NB mafuta sio tatizo wakuu. gari ni hii.