mlundikano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Serikali piga marufuku mrundikano wa abiria kwenye Daladala

    Yaani kuishi nchi hii ya Tanzania imekuwa nongwa sana, kila eneo wafanyabishara wanajiamlia kufanya yao. Waendesha daladala wanapakia abilia hadi mlangoni, watu wanasimamiahwa na kupangwa kama magunia ya mikaa. Kwani serikali hatuwezi kufanya hata hili la usafiri kwa kuzingatia level seat nchi...
  2. N

    Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  3. B

    RC Tanga alia na mrundikano wa wahamiaji haramu mkoani kwake

    Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo. Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
  4. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu apata dawa mlundikano mashauri, ashauri majaji wapangiwe idadi ya kesi za kumaliza kwa mwaka

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani. Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
  5. Lord OSAGYEFO

    Mlundikano wa mahabusu: Iundwe tume ya Majaji, Mawakili na Viongozi wa Dini

    Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana. Ushauri kwa Mh. Rais...
Back
Top Bottom