Wanabodi,
Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
Hii ni Kwa Tanzania TU,na nchi za hovyo kama hii.
Tundu Lisu anajitetea vizuri sana Mahakamani,ana uwezo mkubwa sana wa kuonesha jinsi kesi yake kweli sio ya uhaini Bali ni kesi ya uongo na ni ya kisiasa.
Ana uwezo wa kuonesha kua kesi hiyo Haina maana kabisa Kwa uhalisia na Kwa ushahidi...
Lissu kwa ushawishi alionao kwenye uwanja wa sheria katiba ikiruhusu nafasi za ujaji kutangazwa na kuomba na kupigiwa kura na wanasheria hiwe TLS ndo wawe wasimamizi Lissu anakua Jaji mkuu mapema akitaka sasa ni vema tukaishi kwa kuweka hakiba ya maneno kwa ajili ya kesho.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu, CJ. Masaju kwa kukemea hukumu za mahakama kudharauliwa kwa kutotekelezwa na watu mbali mbali au taasisi mbalimbali likiwemo Bunge la JMT, lina dharau sana kwa Mahakama. Nimependekeza dawa ya kukomesha...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru.
Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama.
Sijajua ni mahakama gani ila kwa...
Hivi hawa watu mandumi la kuwili wanajua nafasi zao hapo wanaposhikiria.
Shida yetu sisi watanzania tunapenda kulifanya kosa libembelezwe kwa hekima.
Mpaka leo hakuna la maana kuhusu kesi ya lissu.
Katika demokrasia:
👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu.
👉Bunge ni kubwa kuliko Spika.
👉Taifa ni kubwa kuliko Rais.
👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala.
Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda.
1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS
Rais ni kiongozi wa muda.
Taifa ni la...
HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026
·...
amani
chande
chande othman
ghasia
hotuba
jajijajimkuujajimkuu mstaafu
kuchunguza
matukio
mkuu
mohamed
mohamed chande
mohamed chande othman
mstaafu
mwenyekiti
mwenyekiti wa tume
rais
tume
tume ya rais
uvunjifu wa amani
wakati
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Hufai
Umeshindwa
Huna weledi
Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
Tunakwenda almost miezi 2.
Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi!
Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya yako! What else do you want to tell the mass!
Ya LISU UMEIPAKI KWA MKONO WAKO, WEWE MWENYEWE KWA AMRI...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam tarehe 9 Aprili, 2026, amekemea vikali Mahakama kukaa na shauri kwa muda mrefu.
Aidha, Jaji Masaju...
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania,
Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo.
Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao wakubwa! Mheshimiwa kwa maneno yako ulilalamika kuwa hivyo "vimemo' vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi...
Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele.
Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive.
Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO
Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali?
Muhukumuni kwa haki hata kama...
-3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ?
-Whats the plan tupate ripoti yetu ?
-Inawezekana ripoti iwasilishwe
alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me.
Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.