shekilango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ardhi yadaiwa kushuka thamani kwa 80% Magomeni, Ubungo, Riverside, Shekilango na Mbagala!

    Baada ya 17/8/2026, tamko la Mkuu wa Mkoa lilielekeza magari kurudi Mbezi Luis Stand. Kampuni zote zimetii, isipokuwa “kampuni pendwa 3” ambazo hazijatajwa majina, zimeruhusiwa kuendelea kuanzia mjini. Hakuna mwandishi aliyenyanyua mdomo kuhoji sababu na vigezo vya hizo kampuni. Ila katika moja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Shimo Kubwa katikati ya barabara Shekilango Latishia Usalama wa Watumiaji wa Barabara, Mamlaka Husika Hawaoni Hili?

    Shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Shekilango mara tu baada ya tuta, limeendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Kutokana na ukubwa wake madereva hulazimika kulikwepa ghafla jambo linaloongeza hatari ya ajali na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

    Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa baadhi ya makaburi katika barabara ya ufi (Ubungo maziwa – Shekilango)

    Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa anaendelea na ujenzi wa barabara inayopita katika makaburi yaliyopo mtaa wa ubungo kisiwani. Kufuatia ujenzi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ally's Bus mchukulieni hatua huyu mbeba mizigo yenu pale Shekilango

    Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka mzigo. Kilichonisikitisha, ni mzozo wao kusimamiwa na matusi kutoka kwa mbeba mizigo huyo kwenda kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango imekufa?

    Naomba ufafanuzi kama Huduma ya mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango bado ipo Ahsante kwa ushirikiano
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa siku 7 mabasi yote ya mikoani yawe yanaingia Magufuli Bus Terminal, si Shekilango

    Waziri wa Tamisemi Mhe. Bashungwa leo amesisitiza mabasi yote yaendayo Mikoani pamoja na nchi jirani lazima yapakie na kushushia abiria katika kituo kikuu cha Mabasi cha Magufuli ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wadau wa usafirishaji. Ni vyema waziri kalizungumzia hilo maana hali ilipo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, Shekilango na Urafiki ndio Stendi mpya za Mabasi yaendayo mikoani?

    Ahlan wa sahlan Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake yamekuwa yakijazana maeneo ya Shekilango na Urafiki nyakati za Alfajiri na Mchana. Najiuliza ile...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

    Nimepita muda huu kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa barabara Dar (Bamaga - Urafiki) kutambua mchango wake kwa Taifa

    Hivi kuna yeyote amewahi kujiuliza Shekilango ni nani mpaka barabara kubwa jijini DSM ikapewa jina lake? Naomba mwenye historia na wasifu wa Shekilango atuwekee. Naamini siko peke yangu ambaye hatuna taarifa zake. ===== Michango ya wadau...
Back
Top Bottom