mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Saa 7 mchana

    Kubambikiwa fine ya gari ambayo huifahamu. Ajabu imetolewa mkoa ambao gari haijawahi kufika

    Kuna hili limetokea, gari dogo baada ya kusimamishwa na traffic likaoneka lina deni. Kuagalia vizuri fine(madeni) zote zimeandikiwa mkoa wa Dodoma ikiwa gari dogo halijawahi kufika Dodoma, lipo Morogoro. Makosa hayo ni kuzidisha abiria, maana yake ilitumika kukusanya maokoto. Wataalam naomba...
  2. Nigrastratatract nerve

    Makonda kuunguruma leo Mkoani Pwani

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, katika siku yake ya kwanza ya ziara ya siku 30 kwenye mikoa 20. Pia, Makonda anatarajiwa kufanya vikao na viongozi mbalimbali wa kamati za utekelezaji wa...
  3. Orketeemi

    Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

    Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii. 1. Mbeya 2. Mwanza 3... 4..... Hivi ni Kwa nini? Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
  4. GENTAMYCINE

    Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

    1. Lilipo Kanisa Katoliki 2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira 3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu 4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni 5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia 6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi 7. Eneo la Makaburi Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
  5. DR Mambo Jambo

    PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
  7. Dr. Wansegamila

    Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

    Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo: 1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
  8. M

    Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
  9. tpaul

    Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam. Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
  10. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  11. Jadda

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
  12. Nazjaz

    Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee. Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa. Arusha sina hamu
  13. Ryan The King

    Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  14. GoldDhahabu

    Asanteni Jeshi la Polisi Wanawake Mkoa wa Manyara

    Pongezi nyingi ziwafikie Polisi wote wanawake Mkoa wa Manyara. Mmefanya jambo la utu. Kuwemo kwenye magwanda ya kijeshi hakujawaondolea moyo wa huruma. Asanteni sana. Nimeguswa mno na hilo mlilomfanyia huyo mama mjane. Najua mliwashirikisha askari wa vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama...
  15. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  16. Roving Journalist

    Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  17. ward41

    Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini wanapiga kelele Duniani kote!

    Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town! Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel. Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza. Mataifa mengi makubwa na madogo yanaenda kujifunza Israel. Kuna mwaka Bara nzima la Africa...
  18. B

    Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini? Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
  19. sky soldier

    Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
  20. sky soldier

    Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea Christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria source >>...
Back
Top Bottom