mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Shule Bora ya girls advance mkoa wa Dodoma

    Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
  2. Thomas JM

    JamiiForums Tanzania KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

    Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
  3. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnapenda kuujumu mkoa wa Kagera?

    Katika takwimu zote za miaka yote ya makusanyo ya TRA, mkoa wa kagera ni miongoni mwa mikoa iliyojuu katika kuchangia pato la taifa. Kwa report ya hivi karibuni ya TRA, mkoa wa Kagera katika uchangiaji wa pato la taifa imeshika nafasi ya 9. Sasa linapokuja suala la kugawanya pato la taifa kwa...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Chalamila umekuwa mchekeshaji

    Sija bahatika kuwa maeneo ya kwako ukishika nyazifa za mikoa kama mkuu wa mkoa. Ila kuna muda umekuwa stand up comedy kuliko uongozi yako. Mtu ukishakuwa kwenye steji ya kuwaongoza watu sio kila mda unatoa meneno ambayo utafakari maana mda wote watu wanataka kukusikiliza na hatma yao. Ili...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya yatoa ufafanuzi madai ya kukosekana kwa Mashine ya Kuchomea Taka

    Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema: Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine. Hivyo...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  9. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkuu wa Mkoa feki akamatwa akisilikiza kero za Wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera anatakiwa awe Mkoani kwake Mbeya. Lakini yeye miezi kadhaa yupo Mkoa wa Jirani huko Ruvuma akifanya mikakati ya Ubunge wa 2025 Hata wananchi walishamsahau wala hawajui kiongozi wao nani. Sasa leo kajitokeza Mkuu wa Mkoa feki wa Mbeya na kuanza kusikikikiza...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu

    Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu Katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha 2021/22, 2022/23 na 2023/24 serikali imejenga jumla ya vituo vya afya 466 vilivyogharimu shilingi bilioni 718.1 katika maeneo ya kimkakati kote nchini...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Hakuna sukari Kilimanjaro, wananchi wanauliza "Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya" wanunue sukari wapi?

    Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi. Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kigoma azitaka Halmashauri kudhibiti upotevu wa mapato

    Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amezielekeza timu za Menejimenti za Halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinasimamia na kudhibi upotevu wa mapato yanayotokana na makusanyo ya ndani katika Halmashauri hizo Andengenye ametoa maelekezo hayo alipokuwa akifunga kikao kazi kilichomkutanisha...
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
  15. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme utakaojengwa mto Malagarasi mkoa wa Kigoma

    Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM

    Simiyu: Makatibu Kata Mkoa wa Simiyu Wakabidhiwa Vitabu vya Kanuni za CCM MJUMBE wa Mkutano Mkuu Taifa (MNEC), kutoka Mkoa wa Simiyu, Gungu Silanga amekabidhi vitabu vya kanuni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Makatibu Kata wa mkoa huo ili waendelee kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya chama...
  18. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nimemtukana Baba Mkwe kimakosa: Natamani kukimbia mkoa, nimechanganyikiwa

    Ukisikia kuyabananga, basi mie komwe sio tu nimeyabananga, nimeyavaa jumla jumla. Nimeboronga, nimekanyaga divi bichi. Baba mkwe wangu ni mwanajeshi, ana nyota nyingi begani, jitu jeusi, refu, linatisha na lina matuta usoni kama Mizengo Pinda. Alikuja nyumbani kwangu kwenye sherehe ya...
  19. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ilala kukumbwa na Mgao wa Umeme

    Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala. @TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam! Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
  20. Kwetu Songwe

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
Back
Top Bottom