Mkuu wa mkoa Chalamila umekuwa mchekeshaji

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,605
8,734
Sija bahatika kuwa maeneo ya kwako ukishika nyazifa za mikoa kama mkuu wa mkoa.

Ila kuna muda umekuwa stand up comedy kuliko uongozi yako.

Mtu ukishakuwa kwenye steji ya kuwaongoza watu sio kila mda unatoa meneno ambayo utafakari maana mda wote watu wanataka kukusikiliza na hatma yao.

Ili suala la mafuriko,umeme na sukari unavoliongea kama kungekuwa na kutunuku shaada ya DKT tungekupa ya comedy.
 
Ndio maana tunasema KATIBA MPYA ILIYO BORA iseme RC wawe wanqchaguliwa na Wanamkoa husika na SIFA ziwe WAZI sio kama sasa,kimekuwa cheo cha Machawa + kulipana fadhila
 
Back
Top Bottom