KERO Hali mbaya ya huduma Hospitali ya mkoa Temeke

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Thomas JM

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
215
224
Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana

Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake.

Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na wanasaidikaje......

Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati hili suala... Waache kufanya kazi kimazoea na kutegeana.

image.jpg
 
Back
Top Bottom