Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam.

Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao.

Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa wanakwambia ni futuhi.
 
Back
Top Bottom