Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Nimeishi Mwanza!

Nimefika Chunya mkoani Mbeya.

Nimeshafika Iringa.

Zanzibar napafahamu.

Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.

Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.

Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.

Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.

Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
 
Maeneo haya yapitiwa na safu za milima Livingstone Njombe ,Mbeya, Ruvuma,
Fika mbinga milima kibao, na Kona nyingi sana, .
Na ndo mana wakaziita Kanda za nyanda za juu kusini. Zinamiinuko kuanzia 1300 kutoka usawa wa bahari.
Kisayansi, haki hiyo imesabishwa na nini?
 
Mkuu inamaana hata Geography ya O level hukusoma?
Maeneo haya yapitiwa na safu za milima Livingstone Njombe ,Mbeya, Ruvuma,
Fika mbinga milima kibao, na Kona nyingi sana, .
Na ndo mana wakaziita Kanda za nyanda za juu kusini. Zinamiinuko kuanzia 1300 kutoka usawa wa bahari.
Usipoelewa hata hapa alichokigusia Eng. Zezudu utahitaji tukurudishe darasani mwanzo kabisa wa Earth's structure
 
Nimeishi Mwanza!

Nimefika Chunya mkoani Mbeya.

Nimeshafika Iringa.

Zanzibar napafahamu.

Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.

Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.

Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.

Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.

Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Wazee wa zamani walikosea pakuanzisha mji mbona njombe kuna sehemu zipo vizuri kasolo mji ndo hakuna.
 
Nimeishi Mwanza!

Nimefika Chunya mkoani Mbeya.

Nimeshafika Iringa.

Zanzibar napafahamu.

Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.

Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.

Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.

Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.

Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Kijiografi ndo maana wanasema nyanda za juu kUsini inamaana ukanda wa juu mkoa wanjombe eneo lake kubwa Lina milima hasa halmashauri za ludewa DC,makete dc njombe tc na lupembe pia mkoa wa njombe una eneo lenye tambalale kubwa zaidi nyanda za juu kUsini Ina cover makambako tc na wangingombe dc Wanaita makambako gap
Eastern_Arc_Mountains_sheme.jpg
 
Nimeishi Mwanza!

Nimefika Chunya mkoani Mbeya.

Nimeshafika Iringa.

Zanzibar napafahamu.

Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.

Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.

Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.

Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.

Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Ungemuuliza Mwenyezi Mungu muumbaji ndio angekupa majibu
 
Nimeishi Mwanza!

Nimefika Chunya mkoani Mbeya.

Nimeshafika Iringa.

Zanzibar napafahamu.

Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.

Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.

Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.

Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.

Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Na Mbeya ndio mkoa wenye barabara iliyo kina cha juu kabisa kutoka usawa wa bahari katika Afrika.
 
Back
Top Bottom