Melxcom991
Member
- Aug 2, 2021
- 48
- 25
Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL.
Location Dodoma:
Location Dodoma:
Ndio privatePrivate?
Kak kama kunazingn unazijuwa ni saidie kakaSanthome SABS
Kak gani? Kuna St peter Clever, Marie de mathias, fountainKak kama kunazingn unazijuwa ni saidie kaka
Msamehe ana siku ya 3 tu jamvin.Kak gani? Kuna St peter Clever, Marie de mathias, fountain
Sorry😅Kak kama kunazingn unazijuwa ni saidie kaka
Tumia neno mkuu😁😁😁😁 vinginevyo utaita mwanamke kaka na mwanaume dada😁😁😁Kak kama kunazingn unazijuwa ni saidie kaka
Kumbe zina advance hizi zote mkuu?Kak gani? Kuna St peter Clever, Marie de mathias, fountain
NakaziTumia neno mkuu😁😁😁😁 vinginevyo utaita mwanamke kaka na mwanaume dada😁😁😁
Humu jamvini linatumika neno "mkuu"