Hakuna sukari Kilimanjaro, wananchi wanauliza "Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya" wanunue sukari wapi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi.

Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
 
Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi.

Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumuevsukari wapi?
Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya wanahusikaje na sukari? Iulizeni bodi ya sukari.
 
Wapiga dili hao kuna supplier eti kapewa kanda nzima ya kaskazini ni yeye tu.

Biashara za siasa hizi ,wafuate Tangazo kuna msambazaji kapewa tender.
 
Yan mambo ambayo alihangaika nayo nyerere akiwa na wasomi wachache tena tukiwa ndio tumetoka kwenye ukoloni, leo hii bado Tanzania iliyojaa uwekezaji inahangaika na mambo yale yale , what the fuc*k is this?

Hawa wapumbvu pale mjengoni kwenye vikao vyao wanaongeaga mavi gani au wanasubiri posho zao tu waondoke laana wale??
 
Attachments

  • IMG-20240215-WA0011.jpg
    IMG-20240215-WA0011.jpg
    79 KB · Views: 3
Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi.

Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
Namanga sukari ipo ya kutosha, majirani zetu wanasaidia pakubwa kaskazini 🐒

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom