Wanabodi salaam
Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha
Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.
RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye...
Habari wadau!
Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali.
Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule Alhaji alivyoletwa ndio lilizidi kupoa mpaka mama kashtukia kwamba kipindi cha Alhaji jiji lilipoa...
Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima.
Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
Queen katika siasa alikuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka mwaka 2014 alipoamua kuhama na kujiunga na chama cha Alliance for Democratic Change (ADC). Mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu Tanzania aliwania nafasi ya ubunge jimbo la Kawe kupitika chama cha ADC ila hakufanikiwa kushinda...
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine tutakujulisha ukishafika.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu.
Rais Samia...
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali.
RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa...
Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa
Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri wizara ya kilimo, baadaye hayati Mwalimu Nyerere akamteua kuwa mkuu wa mkoa wa Mara
Mzee Njelu...
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi...
Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache:
Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana...
Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora.
Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote?
Huyu ni mtu wa aina gani?
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
Habari wadau!
Kiukweli stand ya mkoa Mbezi Luis ni kero kwa wasafiri tuliopo nje ya wilaya ya Ubungo.
Jana jioni nilienda kumpokea wife pale stand ya mkoa Mbezi, wakati nipo Gerezani stand ya mwendokasi nikampgia simu akasema yupo Chalinze fasta nikakaa foleni kusubiri gari za Mbezi ila...
Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku.
Msikilize kwenye video hapa chini...
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa kwa wazee wa mikoa mingine. Maana kama rais wa JMT hatakiwi kuwabaghua wazee wa mikoa mingine maana nao ni wazee wa taifa.
Kama ulitaka kuzungumza na wazee ungeteua walau kila mkoa upeleke wazee kumi na kisha kuwaita Dodoma na kufanya nao mazungumzo.
Kwani Dar es...
Habari za kushinda wakuu.
Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.